![]() "Ni Jambo la kujivunia kwamba mmethubutu", tunanukuu maneno ya Waziri mkuu mstaafu mheshimiwa Edward Lowassa, aliyotueleza tulipofanya mahojiano naye hapa mjini Washington DC. Kwa upande wetu tunachukulia bado tunakuwa, hivyo tunamshukuru Mungu na wadau wetu kwa siku hizi chache ambazo tumekuwa hewani. Sasa tunafikisha miezi mitatu tangu tuanzishe rasmi TV ,Blog na Radio online, kwa binadamu ni siku chache maana hata kutambaa atakuwa bado, kwa chombo cha habari itategemea na uanzishwaji na wadau wake wanachukuliaje.
0 Comments
Leave a Reply. |